Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Sigino. Tayari upauaji umekamilika kwa asilimia 95 na upigaji plasta ndani umeanza hadi kufikia tarehe 26 Novemba 2021
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Babati Day. Mradi umefikia hatua ya kumalizia upauaji (Uwezekaji wa Bati) na pia upigaji plasta unaendelea. Tarehe 26 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari FT Sumaye. Mradi umefikia hatua ya kumalizia upauaji (Bado uwekaji wa Bati) na pia upigaji plasta unaendelea. Tarehe 26 Novemba 2021
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Hangoni. Mradi umefikia hatua ya maandalizi ya upauaji na pia upigaji plasta unaendelea. Tarehe 26 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Kwaraa. Mradi umefikia hatua ya kumalizia upauaji, uwekaji wa madirisha na pia upigaji plasta unaendelea. Tarehe 26 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Kwaang'w. Mradi umefikia hatua ya kumalizia upauaji na pia upigaji plasta unaendelea. Tarehe 26 Novemba 2021
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati