Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Babati Day. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji na tayari upigaji plasta upo katika hatua ya mwisho hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Bagara. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari FT Sumaye. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji na tayari upigaji plasta upo katika hatua ya mwisho hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Bonga. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Hangoni. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya ufungaji lenta ya juu na tayari upigaji plasta ulishaanza hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Kwaang'w. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji na tayari upigaji plasta unaendelea hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Komoto. Mradi ukiwa katika maandalizi ya upauaji na tayari upigaji plasta unaendelea hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Mutuka. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji na tayari upigaji plastaunaendelea hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Nakwa. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji na tayari upigaji plasta unaendelea hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha adarasa katika shule ya sekondari Kwaraa. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji na tayari upigaji plasta unaendelea hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Sigino. Mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji na tayari uwekaji bati umeshaanza hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Nangara. Mradi umekamilika katika hatua ya upauaji na tayari upigaji plasta umekamilika hadi kufikia tarehe 25 Novemba 2021.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati