Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Bagara. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya maandalizi ya upauaji
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Bonga. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upandishaji ukuta na maandalizi ya lenta ya juu.
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Babati Day. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya maandalizi ya upauaji
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari FT Sumaye. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya maandalizi ya upauaji.
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Komoto. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya maandalizi ya ufungaji lenta ya juu.
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Hangoni. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya maandalizi ya Ufungaji lenta ya kati.
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Kwaang'w. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya maandalizi ya upauaji.
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Mutuka. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya maandalizi ya upauaji.
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Kwaraa. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upandishaji ukuta na maandalizi ya ufungaji lenta.
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Nangara. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya upauaji na upigaji plasta.
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Nakwa. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya lenta ya juu.
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Sigino. Mnamo tarehe 20 Novemba 2021, mradi ukiwa katika hatua ya mwisho ya lenta ya juu na hatimaye kuanza maandalizi ya upauaji.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati