Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Babati Day. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Bagara. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari FT Sumaye. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Bonga. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Komoto. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Kwaang'w. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Hangoni. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Mutuka. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Kwaraa. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Babati Nakwa. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Nangara. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Sigino. Mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya Msingi Sora. Ni shule shikizi katika shule mama ya Chemchem, mradi umekamilika kwa asilimia 100 tangu tarehe 17 Mwezi Desemba 2021
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati