• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Miji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Usafi na Mazingira
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Utoaji wa Leseni ya Biashara
    • Utoaji wa Leseni za Vileo
    • Utoaji wa Kibali cha Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Idara ya Maendeleo ya Jamii

Bw.William Haaly

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii

SEKTA YA MAENDELEO YA JAMII

Halmashauri ya Mji wa Babati kwa mwaka wa fedha 2016/2017 vikundi 29 vya vijana vyenye jumla ya vijana 263 na vikundi vya wanawake 79 vyenye jumla ya wanawake 535.Aidha Halmashauri inaendelea kutenga asilimia 10% (5% vijana na 5% wanawake) za mapato ya ndani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya vijana na wanawake. Katika bajeti ya 2016/2017 Halmashauri imetenga Tshs Milioni Mia Tano (500,000,000/=) kwa ajili ya kukopesha vijana na wanawake kupitia vikundi vya kuichumi.Kwa mwaka wa fedha 2016/17 Halmashauri imechangia Tshs. Milioni Kumi na Tatu (13,000,000/=) kwa lengo la kuwezesha vijana na wanawake kukopa na kuendeleza biashara zao, na kujipatia kipato ili kupunguza ukosefu wa ajira.

Katika kuweka utaratibu utakaowezesha wananchi kuwa na Bima ya Afya ili kumudu gharama za matibabu, Halmashauri inaendelea kuelimisha na kuhamasisha Wananchi wasio na ajira rasmi kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa kwa wastani wa kaya 1,791 kwa kipindi cha mwaka 2016. Kwa kipindi cha mwezi Julai 2016 mpaka mwezi Desemba 2016 jumla ya kaya zilizojiunga na mfuko wa bima ya afya ya jamii ni 785 sawa na watu 3972.

Halmashauri ya Mji wa Babati katika kukamilisha Sera ya Huduma za Ustawi wa Jamii pamoja na Mkakati wake wa Utekelezaji, imehakikisha wazee wanatambuliwa na kupewa matibabu bure katika hospitali za Serikali. Katika kutekeleza hili utambuzi wa Wazee 4557 umefanyika ili waweze kupatiwa huduma za afya bure mara baada ya kuhakikiwa.

Kuimarisha upatikanaji wa haki na huduma za makundi maalum wakiwemo watu wenye ulemavu wa ngozi (Albinism) na watoto wanaoishi mitaani ikiwa ni pamoja na kuanzisha Kamati za Ulinzi wa Mtoto. Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017Halmashauri ya Mji wa Babati imepanga kuanzisha na kuzijengea uwezo kamati za Walemavu na kamati za ulinzi wa Mtoto katika Mitaa 35 na Vijiji 13 kwa kipindi cha mwaka 2016

CHANGAMOTO ZILIZOPO:

  1. Vikundi vingi vya vijana wanachama wake kuwa na umri mkubwa kuliko umri unaotakiwa suala ambalo ni tishio kwa uhai wa vikundi hivyo.
  2. Ufinyu wa bajeti unaopelekea kushindwa kutekeleza majukumu kwa ufanisi

NAMNA YA KUKABILIANA NAZO:

 Elimu inatolewa kwa vikundi vya vijana kupokea wanachama wapya wenye sifa na kustaafisha wanachama waliovuka umri wa ujana.

 Kuendelea kutenga bajeti kwa kutumia mapato ya ndani ya Halmashauri

TAARIFA YA UTEKELEZAJI MRADI WA TASAF AWAMU YA TATU, MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI HALMASHAURI YA MJI WA BABATI

 JULAI 2015-DESEMBA 2016.

1.0 Utangulizi:

Halmashauri ya Mji wa Babati ni miongoni mwa Halmashauri/Manispaa na Miji 27 zilizoko katika awamu ya tatu ya utekelezaji. Utekelezaji wa Mpango huu unafuatia kumalizika kwa utekelezaji wa mapango wa TASAF Awamu ya pili ambao ulilenga kuboresha miundombinu ya kijamii katika sekta za elimu, afya, maji na ujenzi.

Katika kipindi chote,utekelezaji wa TASAF III ndani ya Halmashauri ya Mji wa Babati ulifanywa kama ilivyokuwa imepangwa mbali na changamoto chache zilizojitokeza

2.0 Utekelezaji:

Halmashauri ya Mji wa Babati ina jumla ya Mitaa 16 na Vijiji 5 vilivyo kwenye Mpango wa kunusuru kaya maskini sana TASAF III ikiwa na idadi ya kaya lengwa 1079 zilizoandikishwa. Walengwa hao walipitishwa kwenye mikutano mikuu ya Mitaa/Vijiji husika kwa kufuata vigezo vya umaskini vilivyowekwa.

Jedwali hapa chini linaonyesha idadi ya walengwa kwa kila Mtaa/Kijiji.

Na
Kijiji/Mtaa
Idadi ya kaya
1
Babati Mjini
20
2
Hangoni
31
3
Kwere
38
4
Maisaka B
45
5
Majengo
31
6
Mrara
29
7
Waang'waray
35
8
Mjimpya
44
9
Nakwa
127
10
Negamsi
34
11
Ngarenaro
30
12
Nyanguu
64
13
Oysterbay
45
14
Kiongozi
94
15
Malangi
67
16
Chemchem
53
17
Arri
30
18
Nangara Kati
50
19
Singu
60
20
Gendi Barazani
41
21
Managhat
111

TOTAL
1,079

Utekelezaji wa Mpango huu umekuwa ukienda sambamba na zoezi la Uhawilishaji fedha kwa walengwa hawa ambapo kati ya kipindi cha mwezi Julai 2015 hadi Mwezi Desemba 2016, jumla ya Shilingi 403,705,000/= zilipokelewa kutoka TASAF Makao makuu na kufanya malipo kwa kaya maskini ambapo Shilingi 403,037,000 ziliweza kulipwa kwa kaya husika kama jedwali hapo chini linavyoonyesha.

Jedwali kuonyesha kiasi cha pesa kilichohawilishwa(Julai 2015-Desemba 2016)

Na
Kipindi cha malipo
Kiasi kilichopokelewa
Kiasi kilichotumika
Kiasi kilichorejeshwa
1
JULY/AUGUST 2015
49,531,500
49,375,500
156,000
2
SEPTEMBER/OCTOBER 2015
47,587,500
47,567,500
20,000
3
NOVEMBER/DECEMBER2015
42,004,000
41,848,000
156,000
4
JANUARY/FEBRUARY 2016
44,923,500
44,903,500
20,000
5
MARCH/APRIL 2016
45,085,500
44,985,500
100,000
6
MAY/JUNE 2016
43,681,500
43,621,500
60,000
7
JULY/AUGUST 2016
43,632,000
43,632,000
0
8
SEPT/OCTOBER 2016
43,609,500
43,609,500
0
9
NOVEMBER/DECEMBER 2016
43,650,000
43,494,000
156,000

JUMLA
403,705,000
403,037,000
668,000

Jumla ya Sh.668, 000 hazikuweza kulipwa kwa walengwa husika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo vya walengwa, kuhama kwa kaya nje ya eneo la utekelezaji n.k. Kiasi hicho cha pesa kilichobakia kimekuwa kikirejeshwa TASAF Makao makuu kama taratibu zinavyotaka.

3.0 Changamoto katika utekelezaji

  • Muitikio mdogo jamii kushiriki katika mikutano iliyoitishwa kwenye vijiji na mitaa yao kwa lengo la kujadili masuala ya TASAF
  • Idadi kubwa ya wahitaji(kaya ambazo ni maskini) ambao bado hawajafikiwa na Mpango
  • Ushiriki mdogo wa wananchi hasa katika kuchangia kwenye mikutano. Hii inajumuisha kuogopa kutoa kaya zisizo na sifa kwa kwa sababu mbalimbali ikiwemo hofu ya kurongwa na kutokuelewana katika jamii.
  •  Utoro na kuacha shule kwa baadhi ya watoto kwenye kaya hivyo kupelekea ugumu wa ujazaji fomu za masharti ya Elimu mashuleni.
  • Kuhamahama kwa baadhi ya kaya hivyo kuleta usumbufu katika utekelezaji wa mpango
  • 4.0 UTATUZI
  • Elimu zaidi inaendelea kutolewa kwa jamii juu ya utekelezaji wa Mpango ikiwemo utimizaji wa masharti ya afya na elimu
  • Ushirikiano zaidi kati ya TASAF makao makuu na Halmashari na Vijiji/Mitaa husika ili kuleta ufanisi zaidi katika utekelezaji wa mpango.
  • Kuendelea kutoa elimu kwa wazazi walio kwenye Mpango kuhimiza mahudhurio ya watoto shuleni
  • 5.0 HITIMISHO
  • Kwa ujumla,utekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya maskini sana TASAF III umefanikiwa kwa kiasi kikubwa mbali na changamoto kadhaa zinazojitokeza. Katika kupunguza changamoto hizo, elimu inaendelea kutolewa kwa jamii nzima juu ya utekelezaji wa mpango huu.

Matangazo

  • Tangazo kwa waliopimiwa na kurasimishiwa viwanja - Sawe na Nangara December 25, 2022
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza - 2023 December 14, 2022
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO KWA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU November 09, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA TATU July 27, 2022
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Miaka Miwili ya Rais Samia Manyara ni Shangwe tupu

    March 18, 2023
  • Waziri Kairuki atoa angalizo utekelezaji mradi wa BOOST

    December 13, 2022
  • Mhe. Jenista Mhagama awasisitiza watendaji wa ofisi yake kuwa na kauli nzuri na kutoa huduma bora kwa wananchi na watumishi wanaowahudumia

    December 04, 2022
  • Maagizo ya DC Twange kwa Watumishi wa Umma na Wafanyabiashara kuhusiana na utoaji wa risiti za EFD

    December 02, 2022
  • Tazama zaidi

Video

Halmashauri ya Mji wa Babati kuelekea miaka 61 ya Uhuru
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati