MUUNDO WA IDARA YA ELIMU MSINGI |
UTANGULIZI
Halmashauri ya Mji wa Babati ina Jumla ya Shule za msingi 42 zikiwemo za serikali 32 na za binafsi 10. Mwaka 2020 shule 39 zilifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi zikiwemo shule 31 za serikali na 9 za binafsi. Wanafunzi waliofanya mtihani huo walikuwa 2368 kati yao wavulana 1110 na wasichana 1258. Waliofaulu mtihani ni 1997 wakiwemo wavulana 906 na wasichana 1091 sawa na asilimia 84.33. Upimaji wa Taifa darasa la Nne 2020 halmashauri ilikuwa na shule 41 zilizofanya upimaji huo. Shule 31 za serikali na 10 za binafsi. Waliofanya upimaji ni 3325 wakiwemo wavulana 1658 na wasichana 1667. Waliofaulu ni 3224 kati yao wavulana 1586 na wasichana 1638 sawa na asilimia 96.96 MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU YA MSINGI
HALI YA TAALUMA UFAULU DARASA LA SABA 2015 – 2020
UFAULU DARASA LA NNE 2016 – 2020
MIKAKATI YA KUBORESHA TAALUMA KWA MWAKA 2021
CHANGAMOTO
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati