ORODHA YA MADIWANI WA HALMASHAURI MWAKA 2020 - 2025
Halmashauri ya Mji wa Babati ina jumla ya Madiwani kumi na moja (11) kutoka katika Kata Nane (08) ambazo ni Bonga, Bagara, Maisaka, Babati, Nangara, Sigino, Singe na Mutuka kama ambavyo inaonekana kwenye jedwali hapa chini.
Na.
|
JINA LA DIWANI
|
KATA
|
1
|
Mhe. Abdulrahman H. Kololi (M/kiti wa Halmashauri)
|
Maisaka
|
2
|
Mhe. Hiiti Q. Mutlo (M/M/kiti wa Halmashauri) | Bonga |
3
|
Mhe. Yona Q. Wawo | Mutuka |
4
|
Mhe. Yona N. Sulley | Bagara |
5
|
Mhe. Aziza H. Kambi | Viti Maalum Bonga |
6
|
Mhe. Haroun H. Msalu | Babati |
7
|
Mhe. Martin M. Yahii | Singe |
8
|
Mhe. Rose F. Muryang | Viti Maalum Singe |
9
|
Mhe. Samwel J. Barani | Nangara |
10
|
Mhe. Ramadhani S. Ami | Sigino |
11 | Mhe. Zainabu Z. Sige | Viti Maalum |
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati