• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Miji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumisha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

RC Manyara amaliza Mgogoro wa ardhi baina ya mwekezaji na wananchi

Imechapishwa: September 1st, 2021

Mkoa mkoa wa Manyara mhe. Charles Makongoro Nyerere siku ya jumanne tarehe 31 Agosti 2021 alifanya ziara katika Kijiji cha Malangi kilichopo kata ya Maisaka katika Halmashauri ya Mji wa Babati. Ziara hii ilihusisha utatuzi wa mgogoro baina ya Mwekezaji wa shamba la miwa Dudumela Estate na Wananchi. Mhe. Makongoro alifanya ziara hii kutokana na Shamba la mwekezaji kuchomwa moto ekari 50 na watu wasiojulikana. Akiwa katika ziara hiyo Wilayani Babati, Mhe, RC alitoa uamuzi kuhusiana na mgogoro huo ambao umedumu kwa muda mrefu bila kupatiwa ufumbuzi.

Aidha, Mhe. Makongoro alisema alikuwa ameshatuma wataalum kwenda kufuatilia mipaka ya Eneo linalomilikiwa na Dudumela Estate. Kutokana na ripoti ya wataalamu wa Ardhi ya kikao kilichopita, imefahamika kuwa Wananchi wanaoishi katika eneo ambalo mwekezaji anadai kuwa ni eneo lake wapo kimakosa na hatimilki zao ni batili (Hazitambuliki kisheria), hivyo mwekezaji ndo mmiliki halali wa eneo hilo. 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA TATU July 27, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Sekta ya Elimu Babati Mji yanufaika na NMB

    May 09, 2022
  • Maelekezo ya utekelezaji wa Mtaala - Kutoka Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia

    February 03, 2022
  • Mradi wa madarasa 18 uliogharimu Tshs. 379,267,500 wakabidhiwa

    December 28, 2021
  • RC MAKONGORO APONGEZA MWENENDO MZURI WA MIRADI YA MADARASA

    November 30, 2021
  • Tazama zaidi

Video

Uzinduzi wa Maonesho ya Nanenane 2022
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati