Mkuu Mpya wa Wilaya ya Babati Mhe.Emmanuela Kaganda Mtatifikolo amekabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe.Lazaro Twange ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Hai. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati