• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Miji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Usafi na Mazingira
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Utoaji wa Leseni ya Biashara
    • Utoaji wa Leseni za Vileo
    • Utoaji wa Kibali cha Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Mhe. Joyce Ndalichako amekagua maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Mkoani Manyara.

Imechapishwa: August 28th, 2023

Mhe. Joyce Ndalichako Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Zanzibar Bi,.Fatuma Hamad Rajab wamefanya ziara ya kutembelea Uwanja wa Kwaraa ambao kilele cha maadhimisho ya Mwenge wa Uhuru 2023 utafanyika Kitaifa.

Pia Mhe. Joyce Ndalichako ametoa pongezi kwa Viongozi wote wa Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana kwa hatua ya  ujenzi huo ulipofikia amesisitiza usimamizi wa karibu ili kufika tarehe 30/09/2023 uwe umekamilika tayari kwa kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru.

Sambamba na ukaguzi huo ametoa wito kwa vijana kuonyesha vipaji vyao pamoja na kuwataka wananchi wa mikoa jirani kujitokeza kwa wingi siku ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru  tarehe 14 Oktoba 2023.

Vilevile Mhe. Joyce Ndalichako ametembelea Shule ya Sekondari Babati Day ambapo wanafunzi wa halaiki wanafanya mazoezi ya kuonyesha maumbo mbalimbali siku ya kilele cha Mwenge wa Uhuru.Pia amewapongeza walimu kwa mafunzo hayo na wazazi kwa kuwaruhusu watoto wao kushiriki katika halaiki.

Katika ziara hiyo amekagua uwanja ambao utatumika katika wiki ya vijana pamoja na Kanisa Katoliki la Roho Mtakatifu ambapo ibada ya Misa Takatifu itafanyika katika siku ya kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Matangazo

  • Tangazo kwa waliopimiwa na kurasimishiwa viwanja - Sawe na Nangara December 25, 2022
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza - 2023 December 14, 2022
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO KWA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU November 09, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA TATU July 27, 2022
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Katibu Tawala Wilaya ya Babati Bw. Matipula amesisitiza juu ya upimaji wa Afya Mkoani Manyara.

    December 01, 2023
  • Mhe.Sendiga amesuluhisha mgogoro wa Ardhi Dudumera Mkoani Manyara.

    November 29, 2023
  • Mhe.Queen Sendiga amefanya mkutano na Waandishi wa Habari katika Kampeni ya Tumewasikia,Tumewafikia Mkoani Manyara.

    November 22, 2023
  • Mhe. Sendiga amefanya ziara katika Kata ya Bonga Mkoani Manyara.

    November 21, 2023
  • Tazama zaidi

Video

Halmashauri ya Mji wa Babati kuelekea miaka 61 ya Uhuru
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati