Mnamo tarehe 8/7/2015 Halmashauri ya Mji wa Babati iliingia mkataba na kampuni ya Rotronic Ltd ya ya Moshi wenye gharama gharama ya Tshs 3,075,233,570.00 kwa kujenga Km 1.6 kwa muda wa miezi kumi (10) na mnamo tarehe 5/5/2015 Halmashauri ya Mji wa Babati iliingia mkataba na kampuni ya Data Consult Ltd ya Dar es salaam wenye gharama ya Tshs 429,880,500.00 kwa kusimamia mradi Km 1.6 kwa muda wa miezi 12.
Gharama halisi ya mradi huu wa uhjenzi wa Barabara ya Sokoine na Gorowa Km 1.6 imekamilika kwa Tshs 2,622,077,011.86.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati