Bw.Sadiki Mrisho
Kaimu Mkuu wa Idara ya Utawala na Utumishi
Halmashauri ya Mji wa Babati ina jumla ya Kata 8, Mitaa 35,Vijiji 13 na Vitongoji 54.Halmasahuri ina Mbunge 1 wa kuchaguliwa na ina Madiwani 8 wa kuchaguliwa pamoja na Madiwani 3 wa viti maalum.Idara ya utawala na utumishi inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma za mwaka 2002 pamoja na kanuni zake za mwaka 2003,Taratibu za uendeshaji wa utumishi wa umma za mwaka 2003,kanuni za kudumu za utumishi wa umma za mwaka 2009 toleo la 3 pamoja na miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali ihusuyo Utumishi wa umma.
Kazi na Majukumu ya Idara ya utawala na Utumishi
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati