Shamrashamra za mapokezi ya Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri ya Mji wa Babati mwaka 2018
Kila mmoja alikuwa na furaha na hakusita kuonyesha furaha yake.
Skauti wakimpokea kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2018 Ndg. Charles Kabeho katika Halmashauri ya Mji wa Babati.
Barabara ya Babati - Singida
Anuani ya Posta: P.O.Box 383 Babati
Simu: +255-027-2510065
Simu ya Kiganjani: 0684127939 / 0622410
Baruapepe: td@babatitc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati