Miongoni mwa miradi ambayo waheshimiwa Madiwani na wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri ya Mji Babati walitembelea katika Halmashauri ya Mji wa Geita ni pamoja na mradi wa ujenzi wa Soko Kuu mjini Geita, Shule ya msingi Bombambili, English Medium pamoja na Soko kuu la Madini (Dhahabu).
Barabara ya Babati - Singida
Anuani ya Posta: P.O.Box 383 Babati
Simu: +255-027-2510065
Simu ya Kiganjani: 0684127939 / 0622410
Baruapepe: td@babatitc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati