• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Miji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumisha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Karibuni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino - DC Twange

Imechapishwa: November 28th, 2020

Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Babati Bw Lazaro Jacob Twange leo tarehe 28 Mwezi Novemba 2020 amefungua Bonanza la Michezo kati ya watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino na wenyeji watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Babati. Katika bonanza hilo, mheshimiwa mkuu wa Wilaya baada ya kuwakaribisha wageni, amewasisitiza washiriki wote wa michezo kuzingatia maadili ya michezo, kwani michezo ni Burudani na si vita. 

(Picha na Nyeneu, P. R: Wachezaji wa timu ya watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino katika picha ya pamoja)

Sambamba na hilo, kikosi cha watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kimeambatana na Afisa michezo Bw. Achimpota, Afisa Habari Bw. Brian Machange, Afisa mapato Bw Mazige na wachezaji kedekede wakiwemo wa Mchezo unaoitwa Wood Ball. 

(Picha na Nyeneu, P. R: Wachezaji wa miguu wa timu ya watumishi kutoka Halmashauri ya mji wa Babati katika picha ya pamoja).

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 BABATI MJI December 18, 2020
  • ORODHA YA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA October 20, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • TANGAZO KWA WALE AMBAO HAWAJAENDELEZA MAENEO YA KUJENGA VIBANDA UWANJA WA KWARAA August 15, 2020
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Yafahamu mambo yafuatayo kuhusu Afya ya Kinywa na Meno

    March 30, 2021
  • Babati Mji waadhimisha siku ya afya ya Kinywa na Meno Duniani Mashuleni

    March 17, 2021
  • TALGWU Kuhakikisha Wanawake wanaheshimika Makazini

    March 08, 2021
  • Baraza la Mtihani (NECTA) latangaza matokeo - CSEE, FTNA, QT na SFNA

    January 15, 2021
  • Tazama zaidi

Video

Mpango Mkakati wa Halmashauri ya Mji/DC Twange atoa pongezi/Azungumzia Babati Mji kuwa Manispaa
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati