Ukaribisho


Karibu kwenye Tovuti Yetu ya Halmashauri ya Mji Babati. Tovuti hii ina lengo la kutoa taarifa mbalimbali, picha, matangazo, tenda, miradi, takwimu mbalimbali kwa umma na kuwafahamisha huduma zetu tunazotoa. Hakika ukiingia kwenye Tovuti hii utajivunia mambo mengi mno kuhusu Halmashauri yetu ya Babati. Soma zaidi

Habari mpya

Mengine